Naomba kura zenu

GOKILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
639
Reaction score
443
Tuwaogope sana Wanasiasa Wanao omba kura Kwa staili ya kupiga Magoti ,wanapokuwa majukwani na Wale wanao apa
Mfano Unasikia Mungu wangu Mkinichagua mimi miaka miwili Nitakuwa nimesha leta Lami hapa kijjini . Mwaka2015 tumedanganywa sana Mpk wengine Walitupigia push up






 
hawa jamaa kweli ni wasanii.
 
Hadi nimecheka!!! Magoti wanapiga ya nini?
 
Huyu mzee mwenye suti inaonyesha Ana dhiki Sana na madaraka sio kwa goti Hilo mbele ya watoto ambao hawalijui hata thamani yake.
 
Huyu mzee mwenye suti inaonyesha Ana dhiki Sana na madaraka sio kwa goti Hilo mbele ya watoto ambao hawalijui hata thamani yake.
Marehemu Filikunjombe alikufa kifo sio chake,chopa ililengwa kwa mtu mwingine akashituka kuitumia kwenye kampeni zake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…