Naomba kupata updates za soko la tikiti

Naomba kupata updates za soko la tikiti

Joined
Aug 1, 2013
Posts
89
Reaction score
11
Habari ndugu wana jamvi!
Naomba kupata Updates za soko la tikiti kwa maeneo ya Dar, Pwani na Morogoro, soko likoje kwa mwezi huu wa tisa?

Na pia, kwa wale wajuzi wa soko la zao hili, naomba kufahamu ni miezi ipi soko la tikiti linakuwa zuri?

Ahsante

IMG_20200901_091839_051.jpg
 
Habari ndugu wana jamvi!
Naomba kupata Updates za soko la tikiti KWA maeneo ya Dar, pwani na morogoro, soko likoje KWA mwezi huu wa tisa?

Na pia, KWA wale wajuzi wa soko la zao hili, naomba kufahamu ni miezi ipi soko la tikiti linakuwa zuri? ahsante View attachment 1560031
Hongera mkuu. Naona tikiti limekubali. Bila shaka soko litakuwa zuri japo washenzi madalali huwa wanakaba mpaka penati
 
Kilimo ni mtihani Sana , ila ni njia nzuri ya kutokea na kupata mtaji....kwa mwez wa Tisa soko la matikiti ni poorly Sana.
 
Kilimo ni mtihani Sana , ila ni njia nzuri ya kutokea na kupata mtaji....kwa mwez wa Tisa soko la matikiti ni poorly Sana,
Kwa mwezi wa kumi mwanzoni soko lipoje? na KWA maeneo gani? pia soko lipokuwa baya unaweza shindwa rudisha hata pesa yako ya msingi? msaada please?
 
KWA mwezi wa kumi mwanzoni soko lipoje? na KWA maeneo gani? pia soko lipokuwa baya unaweza shindwa rudisha hata pesa yako ya msingi? msaada please?
Zamani miaka ya 2014-16 kiangazi soko lilikua zuri Sana ..Sasa hivi usishangae kukuta gari 20 asbh wanashusha mzigo...hapo gangamala urudishe tu gharama zako ...alafu mbona unatotesha Sana shamba namna hiyo? Huogopi ukungu?
 
Zamani miaka ya 2014-16 kiangazi soko lilikua zuri Sana ..Sasa hivi usishangae kukuta gari 20 asbh wanashusha mzigo...hapo gangamala urudishe tu gharama zako ...alafu mbona unatotesha Sana shamba namna hiyo? Huogopi ukungu?
Kuna kitu nimetaka kusema kuhusiana na Kilimo,ila ngoja niache tu mkuu.

Happy Sunday.
 
Kuna kitu nimetaka kusema kuhusiana na Kilimo,ila ngoja niache tu mkuu.

Happy Sunday.

😀😀😀😀..kivuruge wa kilimo...mie nitakubaliana na mtu anayesema analima eka 1000/- na anapeleka nje au anapeleka kiwandani au anaongeza thamani ..hapo Nita🙌🙌🙌! Haya masuala ya kulima eka 1-10 alafu umtegemee dalali ni ubatili...!
 
Brother soko la tikiti ni Kama ujauzito
Kila soko na vituko vyake😂😂😂😂

Kama uko dar njoo hapa veteran soko la matunda usikie upande wa shangwe na upande wa vilio.
 
Back
Top Bottom