Root root AE
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 217
- 394
Me mwanaume broJinsia yako tafadhali Ili tukuandalie pa kulala kabisa.
Sijaomba kuishi kwa mtu mkuu,nimeomba kupata mwenyeji sijui unaelewa tofauti?Mwanaume utafilwa jomba ungekuwa mwanamke ingekuwa safi sana kwetu tunavyumba vingi na wapangaji hakuna
Nenda sehemu inaitwa kandete, hapo ni mjini kidogo, guest zipo. Huhitaji wenyeji, watu karibu wote watakuwa wenyeji wako. Ni wakalimu sana. Ukiboreka jitetee tutakuelekeza cha kufanya, chakula karibu na bure. Ukimwi uko pia ingawa siku hizi hausemwi sana. Ungesema unahitaji kufanya nini ingekuwa bora zaidi.Habari wakuu,
Niliwahi kuomba ushauri kuhusu eneo lipi niende kati ya TUKUYU au KYELA wadau wakanishauri niende kuishi eneo moja linaitwa Mwakaleli.
Hivo nilikua naomba kama unaishi Mwakaleli au una mtu eneo hilo ambaye anaweza kuwa mwenyeji wangu tuwasiliane PM.
Huoni aibu ndugu?Me mwanaume bro
Jinsia yako tafadhali Ili tukuandalie pa kulala kabisa.
Nishaiuza chief. Nimechukua Nissan Fuga nikabadili engine nimefunga 1GJoshua vipi Ile Bighorn inaendeleaje?
tafuta na cha mwakaleli kabisa hukoHabari wakuu,
Niliwahi kuomba ushauri kuhusu eneo lipi niende kati ya TUKUYU au KYELA wadau wakanishauri niende kuishi eneo moja linaitwa Mwakaleli.
Hivo nilikua naomba kama unaishi Mwakaleli au una mtu eneo hilo ambaye anaweza kuwa mwenyeji wangu tuwasiliane PM.
Mmmmmmmmh, kweli unatoka huko? Unatembelea huko? Au unasimuliwa?Mwakaleli yamebaki mashamba na wazee tupu plus uchawi ndo kwao sema kuna ardhi nzuri kilakitu kinakubali kasoro mpunga tu
Me! Beberu wewe pambana na hali yako sisi tuna wake, wake wenyewe wa huku maji maramoja kama maharage ya Kyela. Njoo gesti zipo tu na wahudumu wanawake wapo, tusije tukatafutana ubaya.Me mwanaume bro