Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,052
- 23,501
Naomba niulize kipi kina madhara zaidi?
Naona vijana wa rika mbalimbali wakijazana kwa wamasai kujipatia ugoro.
Kwa jinsi nijuavyo athari za mirungi ni kunyauka mwili na kukosa usingizi wakati ugoro huleta kansa ya fizi, koromelo, mapafu, kuzubaisha akili, na kudhuru utumbo.