Bondpost JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 7,097 Reaction score 10,613 Aug 6, 2021 #161 Pablo Blanco said: hivi ni kweli alikuwa anaendesha Rang Rover? Click to expand... Hiyo tu??? Yani wauza ngada wakubwa hivyo vitu vidogo sana
Pablo Blanco said: hivi ni kweli alikuwa anaendesha Rang Rover? Click to expand... Hiyo tu??? Yani wauza ngada wakubwa hivyo vitu vidogo sana
swahiba Senior JF-Expert Member Joined Nov 12, 2016 Posts 2,478 Reaction score 3,630 Aug 6, 2021 #162 Huyu ana undugu na Mwasha wa Wasafi FM anayefanya kipindi na MASANJA au ni Majina tu kufanana?
E Easy E JF-Expert Member Joined Feb 19, 2012 Posts 2,076 Reaction score 1,768 Aug 7, 2021 #163 Bondpost said: Muuza ngada amepigwa mvua ya maisha yeye na mumewe. Usitamani maisha ya mwenzio aisee. Click to expand... Hivi walishiahukumiwa?
Bondpost said: Muuza ngada amepigwa mvua ya maisha yeye na mumewe. Usitamani maisha ya mwenzio aisee. Click to expand... Hivi walishiahukumiwa?
M Marrryline Member Joined Mar 27, 2019 Posts 90 Reaction score 121 Aug 7, 2021 #164 Easy E said: Hivi walishiahukumiwa? Click to expand... Yes kifungo cha maisha yeye na mumewe
E Easy E JF-Expert Member Joined Feb 19, 2012 Posts 2,076 Reaction score 1,768 Aug 7, 2021 #165 Marrryline said: Yes kifungo cha maisha yeye na mumewe Click to expand... Du, aisee
Bondpost JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 7,097 Reaction score 10,613 Aug 7, 2021 #166 Easy E said: Hivi walishiahukumiwa? Click to expand... Tayari mzee na walikata Rufaa kesi ikapigwa chini hapo wanasubiri msamaha wa Rais tu. Wamelamba mvua ya maisha mtu na mkewe.
Easy E said: Hivi walishiahukumiwa? Click to expand... Tayari mzee na walikata Rufaa kesi ikapigwa chini hapo wanasubiri msamaha wa Rais tu. Wamelamba mvua ya maisha mtu na mkewe.
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,776 Reaction score 42,931 Aug 7, 2021 #167 Diva Beyonce said: I love shamimu ni mcute hapendi blah blah namkubali sana hasa jicho lake ndo usiseme kumbe alishajifungua hongera zake Click to expand... Picha pliz wengine ndio tunamsikia leo
Diva Beyonce said: I love shamimu ni mcute hapendi blah blah namkubali sana hasa jicho lake ndo usiseme kumbe alishajifungua hongera zake Click to expand... Picha pliz wengine ndio tunamsikia leo