Naomba kumfahamu Producer Zest....

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
12,959
26,023
Wadau huyu jamaa amesikika kwenye beat nying sana mpaka sasa, achilia mbali kusikika tu ila ameweza kuleta ladha ya kipekee katika bongo fleva.... Wasanii kama Aslay, Rayvan, Y tonny, Timbulo na wengine wengi wameweza kutambaa naye vizuri. Imefika muda mpaka producers wengine wameanza kumuiga. Je Zest ni nani? Studio zake ziko wapi?
 
Sasa wewe ndo unamjua halafu unatuuliza sisi tena? . Tatizo nini hapa?
 
Zest Daud huyu jamaa anaimba injili ana studio ipo Tabata inaitwa moja moja record.

Ni producer mzuri nafikiri ndiye katengeneza mdundo wa pusha.
 
Wadau huyu jamaa amesikika kwenye beat nying sana mpaka sasa, achilia mbali kusikika tu ila ameweza kuleta ladha ya kipekee katika bongo fleva.... Wasanii kama Aslay, Rayvan, Y tonny, Timbulo na wengine wengi wameweza kutambaa naye vizuri. Imefika muda mpaka producers wengine wameanza kumuiga. Je Zest ni nani? Studio zake ziko wapi?
Kwangu kuna jamaa yupo T touch naona ndiye kaleta ladha ya kipekee kwenye Muziki.

Zest anajitahidi saana. Yupo Tabata moja moja Records.
 
Gwankaja naona umeamua kumpa Promo homeboy..

(Gwankaja ni neno la Kinyakyusa lenye maana 'Wanyumbani/wakwetu...so mleta mada ni Mnyakyusa wa Mbeya..Zest pia kaanzia Mbeya Hustling zake)
 
Hata nyimbo za Rado siku hizi anatolea hapo. Ukitaka kumpata Zest nenda kijiwe cha umoja road jpil jioni utambamba
 
Sasa wewe ndo unamjua halafu unatuuliza sisi tena? . Tatizo nini hapa? Sshithole?
Acha kukariri mambo mkuu...toka umesikia hiyo shithole basi imekutoa uwezo wa kufikiri...mbona wenzako wamejibu vizuri tu!!!
 
Zest Daud huyu jamaa anaimba injili ana studio ipo Tabata inaitwa moja moja record.

Ni producer mzuri nafikiri ndiye katengeneza mdundo wa pusha.
UPO sahih, jamaa yupo pale Tabata relini kama unaelekea St Marry Teachers college.. ndo mitaa yangu.. vi underground vnashnda sana pale nje ya studio karibu na KWETU STUDIO
 
Zest nakumbuka zile nipo mbeya alikuwa na studio yake ,,walikuwa wanajiita mashada ink..nina mengi nakumbuka kwa huyu jamaa..ila big up kwake maana aliwaza mbali sana kuja dsm na studio yake..wale akina Fred k na mbeya records walkishia kufia mbeya ,ila walimtoa izzo b..
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom