Tanzaniano Tz
Member
- Jun 27, 2019
- 27
- 51
Habarini wadau,juzi nilikatiza bbc world news nikakutana na hard talk na mgeni mhojiwa alikua ni albert woodfox kwang ndo ilikua mara ya kwanza kumsikia nikasema ngoja nickilize mahojiano yake mpaka mwisho,nilivutiwa na kutaka kujua historia ake kiufupi,
Najua iko google but kuna watu humu ni wazuri wa kuelezea kitu zaidi ya ukionacho google na story nyingine chini ya kapeti
Nasubiri kwa hamu kuweza kumfahamu mtu uyu aliefungwa jela 44yrs
Najua iko google but kuna watu humu ni wazuri wa kuelezea kitu zaidi ya ukionacho google na story nyingine chini ya kapeti
Nasubiri kwa hamu kuweza kumfahamu mtu uyu aliefungwa jela 44yrs