Naomba kulekezwa jinsi ya ku-download Adobe ILLUSTRATOR version yoyote

MALISA92

Senior Member
Aug 29, 2013
148
56
Wana jamii forum nimsha Google na ku Google lakini sijapata direct link ya kudownload hizo setup.

Pia namaanisha sihitaji zile installer zinazokuja kutoka official page ya Adobe kwani wanakupa ka assistant installer kwahyo huwezi kupata ile setup peke yake.

Hivyo naomba yeyote mwenye ujuzi wa jinsi ya kushusha hii setup.exe directly bila hizo assiatant anielekeze au aweke link hapa ambayo ntaigia direct.

Kumbukeni pia nahitaji moja wapo ya hizo version za illustrator nilizo taja kwahyo anayejua yeyote na sio zooote kama nilivyo mention bali mojawapo anifahamishe jinsi yakufanya.

Shukrani sana!
 
ADOBE ILLUSTRATOR CC 2014.......... latest Version 18.zip 1.6 GB

Patch za kui activate zipo kibao, google tu utazipata.
Ila Andika kabisa na version ya adobe yenyenyewe, mana hii ni tofauti kidogo jinsi ya ku activate, ain't try yet.

snipa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom