timetoloveyourself
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 206
- 206
Hodi hodi jukwaani wanajami jamani,mimi huku ni mgeni naomba nikaribisheni.
Shukrani kwa moderator jina langu kuliweka.
Shukrani kwa moderator jina langu kuliweka.
Vua viatu, mvua hz!
Mbona usiku hivi?
Nyumba yavuja mkuu usingizi watoka wapi?
Viatu sikuvaa labda nijifute tope nilokanyaga njiani