Naomba Kujuzwa

Iamjac16

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
214
Reaction score
53
Wana Jf Naombeni Mnisaidie Kwa Hili Hivi Kuna Uwezekano Wa Kudownload Operamin Katika Blackberry Za Kichina Na Ikafanya Kazi
 
umejaribu mkuu? Hebu fanya mpango tuone itaishia wapi.
 
BB ya kichina haiwezi kudownload OperaMini kwa kuwa haiwezi kusupport file zenye format ya jar

Pia Twitter Inaandika Too Large Files Cant Download Na Hili Linatokana Na Nini
 
twttr haiwezi kufunguka kwenye cm yeyote ile ya kichna, mpaka kuwepo na browser kama opera mini.
 
Ndo kitu kinanifanya nizichukie simu za kichina yaani ni trouble makers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…