Naomba kujuzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujuzwa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by nyaunyau, Aug 18, 2011.

 1. nyaunyau

  nyaunyau Senior Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Naomba kufahamishwa kuhusu usajili wa vyuo unaofanywa na NACTE,nilisoma kwenye TOVUTI yao orodha ya vyuo vilivyosajiliwa nikaona kuna preparatory,provissional na fully registration.mnaoelewa mimi nimesoma DIPLOMA chuo chenye usajili wa kati naweza kupata nafasi chuo kikuu ili niendelee na degree?.
   
Loading...