Naomba kujuzwa wastani wa gharama za upauaji kwa fundi

Naomba kujua ghrama za kupaua nyumba yenye vyumba vitatu, dining, sebule, jiko, stoo na vyoo vitatu. Naomba kujua wastan wa gharam za ufundi.
Kama nyumba yako chini ya vyumba 3 adi 4 piga simu 0683715151 ukiwa na laki 9 tufanye
 
Naomba kujua ghrama za kupaua nyumba yenye vyumba vitatu, dining, sebule, jiko, stoo na vyoo vitatu. Naomba kujua wastan wa gharam za ufundi.
Kwa niaba ya timu nzima ya UVIMO CIVIL SOCIAL GROUP
Pokea makadirio na makisio ya upauaji wa nyumba yenye
Vipimo vya nyumba kama ifuatavyo
Urefu-12m
Upana-11m
Kona -6
Mapaa-6



Ripoti yake hii hapa.


1-Bati -95x25,000=2,375,000

2-Mbao 2x4=125x6,000=750,000

3-Mbao 2x2=110x3,000=330,000

4-Misumari 3"=1.5x3,000=4,500

5-Misumsri bati-25x10,000=250,000

6-Fisher board 1x10 -14x16,000=224,000

7-Binding waya -15x3,000=45,000

8-Misumari 4"=45=140,000

Jumla=4,118,500
9-Ufundi=950,000

JUMLA KUU=5,068,500

Wasaliana nasi Uvimo
0629361896
0753927572 - What's AppView attachment 2000846
IMG_20211106_055013_6.jpg
 
Tafuta fundi kadhaa uelewane nao
Nakuunga mkono, wakati meingine unataja kwa kutega,
Kwa sisi Uvimo ni 11x12m =950,000
Kwa kawaida ingekuwa 1,250,000

Anagalia picha-3 ya nyumba hapo chini tumekabidhi jana tarehe 5-Nov-2021 Sasa ndo tunaweka Magril.

Bei tunakufanyia 950,000 ikiwa imepakwa na rangi ya fisha bodi
Ni kwa wateja wa Morogoro,dodoma,dar,pwani tanga. Kwa ufupi mikoa inayo zunguka Morogoro.

Ikiwa yote ni dizaini ya kandarasi ya uvimo

0629361896
0753927572 - What'sApp


View attachment 2000866
 

Attachments

  • IMG_20210111_132031_3.jpg
    IMG_20210111_132031_3.jpg
    43 KB · Views: 42
  • IMG-20211102-WA0001.jpg
    IMG-20211102-WA0001.jpg
    39.7 KB · Views: 38
  • IMG-20211102-WA0000.jpg
    IMG-20211102-WA0000.jpg
    66.5 KB · Views: 33
  • IMG-20211102-WA0004.jpg
    IMG-20211102-WA0004.jpg
    89 KB · Views: 38
Tunauza mbao kwa bei ya jumla:-
2*2 fut12=2500
2*3 fut 12=3500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=4500
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=14000
1*10fut 12 fisher board( treated)=15000
2*4 fut18(treated)=10000
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
 
Kwa niaba ya timu nzima ya UVIMO CIVIL SOCIAL GROUP
Pokea makadirio na makisio ya upauaji wa nyumba yenye
Vipimo vya nyumba kama ifuatavyo
Urefu-12m
Upana-11m
Kona -6
Mapaa-6



Ripoti yake hii hapa.


1-Bati -95x25,000=2,375,000

2-Mbao 2x4=125x6,000=750,000

3-Mbao 2x2=110x3,000=330,000

4-Misumari 3"=1.5x3,000=4,500

5-Misumsri bati-25x10,000=250,000

6-Fisher board 1x10 -14x16,000=224,000

7-Binding waya -15x3,000=45,000

8-Misumari 4"=45=140,000

Jumla=4,118,500
9-Ufundi=950,000

JUMLA KUU=5,068,500

Wasaliana nasi Uvimo
0629361896
0753927572 - What's AppView attachment 2000846View attachment 2000847
Nimependa mchanganuo wako mkuu. Itabidi nikuletee vipimo vya nyumba yangu unikadirie
 
Kwa niaba ya timu nzima ya UVIMO CIVIL SOCIAL GROUP
Pokea makadirio na makisio ya upauaji wa nyumba yenye
Vipimo vya nyumba kama ifuatavyo
Urefu-12m
Upana-11m
Kona -6
Mapaa-6



Ripoti yake hii hapa.


1-Bati -95x25,000=2,375,000

2-Mbao 2x4=125x6,000=750,000

3-Mbao 2x2=110x3,000=330,000

4-Misumari 3"=1.5x3,000=4,500

5-Misumsri bati-25x10,000=250,000

6-Fisher board 1x10 -14x16,000=224,000

7-Binding waya -15x3,000=45,000

8-Misumari 4"=45=140,000

Jumla=4,118,500
9-Ufundi=950,000

JUMLA KUU=5,068,500

Wasaliana nasi Uvimo
0629361896
0753927572 - What's AppView attachment 2000846View attachment 2000847
Instagram unatumia jina gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom