pastor muyamba
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 252
- 134
Baada ya kujamiana na MTU mwenye magonjwa ya ngono unachukua muda
Gani dalili kuonekana kwenye uume?
Maana duu,
Msaada wenu ni muhimu wajuzi
Muwe na asubuhi njema
Inategemea na gonjwa lenyewe.
Kaswende/ syphilis ni siku kama 20 hivi.
Kisonono/ gonorrhea ni siku mbili tatu hivi.
Chlamydia ni wiki mbili au tatu.
Pastor ni cheo ,jina,acha ujingaUnajiita pastor
Mpaka hapo pole sana japo hautaki kuwa waziBaada ya kujamiana na MTU mwenye magonjwa ya ngono unachukua muda
Gani dalili kuonekana kwenye uume?
Maana duu,
Msaada wenu ni muhimu wajuzi
Muwe na asubuhi njema
Kawaida tu,niliona mapele tu 2,syo kwamba kuna hatari yoyote hapana,mkuu,Mpaka hapo pole sana japo hautaki kuwa wazi
Ndio maana huolewi kumbe jaribu kumrudia munguKawaida tu,niliona mapele tu 2,syo kwamba kuna hatari yoyote hapana,mkuu,
Uyo mwenye magonjwa yapo mangapiBaada ya kujamiana na MTU mwenye magonjwa ya ngono unachukua muda
Gani dalili kuonekana kwenye uume?
Maana duu,
Msaada wenu ni muhimu wajuzi
Muwe na asubuhi njema
Ujinga wangu kukuuliza??Pastor ni cheo ,jina,acha ujinga
Unaona picha ni ya KE Fala kweliNdio maana huolewi kumbe jaribu kumrudia mungu