Duu miaka yote hiyo alikuwa wapi aisee mbona miaka hiyo mambo yalikuwa rahisi sana ..Ndugu yangu amemaliza form 4 mwaka 2006 na form five 2009,na ameomba diploma za afya mwaka huu,je anaweza akapata ana Phy C, chem B na Bios D.
Ndugu yangu amemaliza form 4 mwaka 2006 na form five 2009,na ameomba diploma za afya mwaka huu,je anaweza akapata ana Phy C, chem B na Bios D.