Naomba kujuzwa wakuu tafadhali

Naomba kujuzwa wakuu tafadhali

dnsHyr75

Member
Joined
Jun 13, 2019
Posts
60
Reaction score
19
Ndugu yangu amemaliza form 4 mwaka 2006 na form five 2009,na ameomba diploma za afya mwaka huu,je anaweza akapata ana Phy C, chem B na Bios D.
 
Duu miaka yote hiyo alikuwa wapi aisee mbona miaka hiyo mambo yalikuwa rahisi sana ..
 
Anaweza kupata . atafute vyuo visivyo na ushindani tu atatoboa

Back
Top Bottom