Naomba kujuzwa unlocking codes za Nokia 106

Naomba kujuzwa unlocking codes za Nokia 106

spidernyoka

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2020
Posts
8,029
Reaction score
21,532
Wakuu naomba msaada wa unlocking codes za iz nokia nilinunua kwa ajili ya mawasiliano zaid nkaweka laini zangu baada ya muda nkahamisha kuweka kwenye simu kubwa kuanzia hapo nkiweka simcard tofaut na zile inakataa.

Msaada wakuu.

1587639621067.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom