Taratbu za kufata Ni Kama wew n katbu
1:-Kuandaa kikao Cha kamati na kuazimia kuuza hvyoo vfaa
+ Muunde kamat ndogo zitahusika na kuuza vfaa hvyo (Kama ya manunuz ndio itabadlk kuw ya mauzo
+Weka tangazo la kuuza vfaa na Bei Elekezi
2:-Muweke kwann mnauza na mnavyoo uza Hivyo fedha matumiz yake nn
3esa zikipatkn zifate utaratbu wa matumiz