SHEVCHENKO
JF-Expert Member
- Mar 9, 2019
- 331
- 453
Fanya kama alivyosema Chief hapo. Nenda getintopc.com tafuta office. Utapata yenye keys.Duhh kwahyo hapo ndo basi tena
Tembelea huu uziWakuu, nimekuwa nikisumbuka hasa kupata activation keys mara lincence za ms office versions.
Nahitaji tushirikishane softwares nyingine ambazo ni mbadala ukiachana na MS offices.
Mimi nazifahamu kama polaris office, libre office, open office, wps office, free office na ashampoo office.
Ila zote naona bado zina ubabaifu, je wewe unaifahamu ipi ambayo ni free pia ni open office yani hulipii ila inaenjoy kama ms office.
Share basi hata link.
Unafanya vitu gani kwenye Word ambavyo huwezi kufanya kwenye Libreoffice?Wakuu, nimekuwa nikisumbuka hasa kupata activation keys mara lincence za ms office versions.
Nahitaji tushirikishane softwares nyingine ambazo ni mbadala ukiachana na MS offices.
Mimi nazifahamu kama polaris office, libre office, open office, wps office, free office na ashampoo office.
Ila zote naona bado zina ubabaifu, je wewe unaifahamu ipi ambayo ni free pia ni open office yani hulipii ila inaenjoy kama ms office.
Share basi hata link.
unatumia njia gani mkuuku crack office hata ya 2016 hata dakika haiishi
unatumia njia gani mkuu
Ninayo 2007, 2016 na 2019 zote zinahitaji code, njia ya command ndo ipojeunatumia office gani nikupe code??
Natumia Command
Ninayo 2007, 2016 na 2019 zote zinahitaji code, njia ya command ndo ipoje
tufanyie kazi ya 2016 ndugu, itakua vizuriOffice zote za kazi gani kwenye PC, Chagua moja tuifanyie kazi. pia office ya 2007 tafuta cracked version achana na key
tufanyie kazi ya 2016 ndugu, itakua vizuri
libre office nzuri ila haina user interface yan huwezi kubadili appearance ni nyeupe tu, sasa hii freeoffice haina utofaut na ms offices hata kidogo isipokuwa wameanza kunidai product key ndo nimeshangaa wakati ni open officeUnafanya vitu gani kwenye Word ambavyo huwezi kufanya kwenye Libreoffice?
Mwaka hata sikumbuki wa ngapi sasa nina MS Office lakini huwa siitumii. Ni complicated unnecessarily na iko cluttered. Sioni kwa nini watu hata wanaipenda. Best office ya mwisho kwangu ilikuwa Office XP.
Haina UI? 😳libre office nzuri ila haina user interface yan huwezi kubadili appearance ni nyeupe tu, sasa hii freeoffice haina utofaut na ms offices hata kidogo isipokuwa wameanza kunidai product key ndo nimeshangaa wakati ni open office
Vipi hiyo office mx bado inapatikana au