Ni naomba kujuzwa kwa mwenye ufahamu wa taratibu za kufungua tax consultancy-Tanzania pamoja na sifa(professional & practical).
Nimepata CPA-T mwezi November 2016,pia nina Masters ya Accounting&Finance na Advanced diploma in Accountancy.
Sina uzoefu wa kutosha katika maswala ya kodi lakini naamini hakuna kinachoshindikana ukiwa na nia.Nimeajiliwa Halmashauri ya mji pembezoni mwa nchi.Salary ni 500k na Hakuna zaidi ya hapo.