Ikifikia zamu ya wa watoto watukutu ya Sekondari Naomba nistue lo yule dogo hapana kwakweli 🙌🙌🙌
Ulifanikiwa kumpeleka shule gan?Habari wapendwa,
Mwenye kujua Shule ya Watoto Watukutu primary naomba mnisaidie niweze kumpeleka ana miaka 16.
Naomba kwa anaejua anisaidie