Hata ikiwa closed ukimpeleka hawatomkataa watamfanyia interview na kumchukua Deadline isikutishe watu wanachukuliwa mpaka JanuaryIla kwa shule nilizokutajia hapo juu, nafikiri Application is already closed..
Tupe rekodi ya matokeo ya KitaifaKama kijana wako ni wakike nenda BRIGHT FUTURE GIRLS' SECONDARY SCHOOL kama ni wakiume nenda CHRISTON BOYS' SECONDARY SCHOOL
BFGSS ni 3mil na hiyo ya wavulana ni 2.5mil zote ndo zinaanza Hazina matokeo ya form four. Ila kujua kwamba jamaa wanapiga Kazi jaribu tu kuwatembelea. BFGSS wapo smart sana kwenye education, take your daughter there.Mngetaja na ada zao mngemsaidia zaidi, maana kasema za ada nafuu lakini nzuri.
Over my dead body green acres nayo shule thathaGreen acres
Tusiime Ada haijachangamka kweli? Maana mdau kasema iwe affordableSt. Anthony's High school-Hii iko Mbagala (Sabasaba kwa mpili)
Canossa High School-Hii iko Tegeta mwisho kabisa (Tegeta Nyuki)
Pia kuna shule nyingine kama Tusiime nayo ni yaukweli.