Naomba kujuzwa route rahisi kutoka Goba kwenda Kigamboni Ferry kwa daladala

jooohs

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
2,067
8,595
Habarini ndugu.

Niko Goba naomba kupata msaada wa route yenye unafuu kufika Kigamboni Ferry.

Natanguliza shukrani
 
Habarini ndugu.
Niko goba naomba kupata msaada wa route yenye unafuu kufika kigamboni ferry.
Natanguliza shukrani
Kamata daladala hadi Morocco.
Morocco kamata mwendokasi ya Feri, nenda nayo hadi feri, kisha unapanda pantoni hadi Kigamboni.
 
chukua bajaji buku hadi mbezi chukua mwendokasi ya moja kwa moja kivukoni
ndani ya saa moja na nusu utakuwa kivukoni ukishuka tumia robo saa kupata supu ya samaki
 
chukua bajaji buku hadi mbezi chukua mwendokasi ya moja kwa moja kivukoni
ndani ya saa moja na nusu utakuwa kivukoni ukishuka tumia robo saa kupata supu ya samaki
usipokuwa makin pale wanakuambia changu ila wanakuwekea sangara.sasa huwez kujua unakula tu
 
Habarini ndugu.
Niko goba naomba kupata msaada wa route yenye unafuu kufika kigamboni ferry.
Natanguliza shukrani
Shuka mbez, chukwa mwendokas, au waweza enda mpk kima-R mwisho mwendokas chap less than 40min ferry vuka kigambon.
 
Habarini ndugu.
Niko goba naomba kupata msaada wa route yenye unafuu kufika kigamboni ferry.
Natanguliza shukrani
Panda daladala zinazotoka makumbusho kwenda mbezi mwisho, ukifika mbezi mwisho kamata mwendo kasi mpaka kimara mwisho then panda mwendokasi nyingine mpaka ferry.
 
Back
Top Bottom