Naomba kujuzwa rangi za mafuta ya petrol

Manwambele

Senior Member
Jan 4, 2016
110
167
Eti haya mafuta ya petrol kuna yenye rangi kama mbili sikosei moja kama mekundu hivi mengine yana rangi kama ya mkojo, hivi hapo ni yapi mafuta bora na kwanini yawe na rangi mbili tofauti sio kama mafuta ya taa?

Naombo kujuzwa
 
Na sio yana rangi mbili tu,ni zaidi ya rangi mbili,kwa mfano kila kampuni huwa wana rangi zao kwaiyo siku ikija kugundulika mafuta ya kampuni x ni mabovu ama machafu ewura inakuwa ni rahisi kufuatilia kwero izo,kama kuna siku tuliagiza mafuta baada yakugundua ivyo waliibaini iyo kampuni kupitia aina ya rangi
 
Rangi unazoziona kwenye petroleum zinawekwa ili kufahamu ni ya kampuni ipi au taifa lipi (simply ni kwa ajili ya kudhibiti wizi na uchakachuaji)... kuna incidence nyingi sana zilikuwa zinatokea miaka ya nyuma za wizi wa mafuta ambapo ulikuwa unakuta kwa mfano mafuta ya Tz yanapelekwa Malawi etc...Baadae wakaona ili kudhibiti hali hiyo waanze kuweka rangi kwenye mafuta kulingana na mahali yanapoenda na hata kampuni iliyozalisha/inayomiliki hayo mafuta.... kwa kawaida rangi ya petroleum ni yellow-to-black ....kama unajua kiingereza basi nadhani unaweza kutafsiri hiyo ni rangi gani
 
Nashukuru sana wana jf mana nilikua njia panda sana,km wenye yakuongezea aje ili 2ongezeane maarifa
 
Mkuu wameweka hivyo kwa sababu ya kudhibiti ujanjaujanja na uchakachuaji lakini kazi ni ile ile inafanya
 
Back
Top Bottom