Naomba kujuzwa nauli ya kwenda Kigoma

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
567
400
Wana bodi tafadhalini,

Nipo Arusha na ninahitaji kwenda Kigoma, naomba kujuzwa nauli halisi ya kwenda huko pamoja na basi nzuri.

Muda wa kufika huko (Kigoma mjini) pia naomba kujuzwa nauli ya ndege kutoka Arusha hadi Kigoma ili niangalie unafuu.

Nashukuru kwa yote
 
Back
Top Bottom