Naomba kujuzwa namna ya kuweza kupata na kutumia Whatsapp web

sir None

JF-Expert Member
Jul 9, 2016
428
212
Naomba kujuzwa namna ya kuweza kupata na kutumia whatsapp web.
---------

WhatsApp was officially made available for PCs through a web client, under the name WhatsApp Web, in late January 2015 through an announcement made by Koum on his Facebook page: "Our web client is simply an extension of your phone: the web browser mirrors conversations and messages from your mobile device—this means all of your messages still live on your phone". The WhatsApp user's handset must still be connected to the Internet for the browser application to function. All major desktop browsers are supported except for Microsoft Internet Explorer. WhatsApp Web's user interface is based on the default Android one.
 
Huu ni ujinga wa kiwango cha rami.

Wanaitumia sana wanaume na ma wivu yao. Hii web utaweza kuona kila sms inayoingia na kutoka kutoka kwenye sim ya mlengwa

Kwa nn nasema ni ujinga huyo mpenzi jua ana ndugu zake(familiya) wana mambo yao ya siri wanadiscuss hizo sms zinakuja kwako ukizisoma zitakusaidia nn?

Leo wamelala njaa wanamtumia sms binti yao awatumie hata buku ya dagaa na wewe umekodoa kusoma hizo sms?? Je angekuwa anasoma sms za familiya yako ungejisikiaje?

Mtu kama anakupenda/kutokupenda utajua tuu mambo ya ku spy ni ubashite kabisa.
 
Ure right bro.. Waambie waache ubashite
 
Ok. Je ni kisha tumia na ku shutdown computer....nikiwasha tena natakiwa kupitia hatua zilezile kila ninapowasha computer au browser ina sevu settings moja kwa moja?
 
Hizi spying techniques huwa zinatumiwa sana na wapenzi wa kiume dhidi ya wanawake because mwanamke sio mtu wa kumuamini always, wanawake wengi sikuhizi ni wanafiki sana. Ukitaka kuamini hilo muache pekeake ajiendeshe kwa muda bila kumfatilia at a certain point utakuta anakusaliti tu.

Na mwanamke anaechukia kuwa spied maana kuna analoficha, utakuta simu ina ma password lukuki na anafuta sms za mahawara akihisi utaipekua simu yake. Kuna mmoja alifikia kuwa anazima simu ya tochi akija ndani maana ndio wanakopigiana na hawara wake huko, alikuwa anapigiwa simu anajifanya jamaa ni rafiki yake kumbe ameanzisha uhusiano nae kimya kimya anamdanga huko ikabidi nimpige marufuku kuwasiliana na huyo mbwa ndio kuanza kuficha simu.

Jamani ukishakuwa kwenye uhusiano na mtu means that mko kitu kimoja hamna cha siri za familia wala nini maana hata msaada ukihitajika kutoa nitatoa mimi ikibidi sasa siri za nini. Hii ya siri za ndugu ni gia tu ila hata mimi nilifatiliaga nikajua ninaishi na mshenzi mapema tu nikachukua tahadhari!
 
Uko sahihi.... lakini upande mwingine na ukweli ulio wazi ni kuwa hata sisi wanaume tunachepuka balaa.

Sasa mimi kama wife wangu akinispy si atakufa kwa presha tu?
 
Duuuh Ila kweli ,kabisa ila inabidi uwe na kifua la sivyo utawahishwa wewe hospital yy akabaki nyumbani kukuhudumia
 
Mimi naitumia Whatsapp web zaidi ya mwaka sasa lakini sio kwa ajili ya spy, inatoa urahisi mtu anayetumia PC kuipata whatsapp yake bila kushika simu hasa wanaokuwa busy na kazi watakuwa wananielewa na ndio lengo la whatsapp walipoweka hiyo option.

Ikitumika ku-spy rahisi kujua, fungua whatsapp ya simu yako na ukienda menu(Doti tatu), ukiingia sehemu ya whatsapp web itakuonyesha device zote zinazongalia whatsapp yako. Wanaotumia android 8.0 mtu akiifungua tu sehemu nyingine inakuletea notification kuwa whatsapp yako inatumika.
 
Uko sahihi.... lakini upande mwingine na ukweli ulio wazi ni kuwa hata sisi wanaume tunachepuka balaa.

Sasa mimi kama wife wangu akinispy si atakufa kwa presha tu?
Cha muhimu ni usimpe sababu ya kuku spy, just treat her right na wanaume wengi tunamudu hilo maana tunaongozwa na logic circuit ya akilini na unajua unachokifanya risk yake ni nini.

Ila kufikia maamuzi ya kumspy mwanamke anakuwa kashonesha dalili mapema. Kiburi, haambiliki wala kujali uwepo wako, hapo lazma uhisi kuna walakini mahali na uchukue hatua stahiki! Wanawake hawana akili wakipenda, hua akili zinaenda likizo kidogo so kujua nikifanya hili mume hatapenda au atanimaindi hawajuagi wao wanaona sawa tu maana moyo wake umetaka hata kama litam cost.
 
Mimi naitumia Whatsapp web zaidi ya mwaka sasa lakini sio kwa ajili ya spy, inatoa urahisi mtu anayetumia PC kuipata whatsapp yake bila kushika simu hasa wanaokuwa busy na kazi watakuwa wananielewa na ndio lengo la whatsapp walipoweka hiyo option.

Ikitumika ku-spy rahisi kujua, fungua whatsapp ya simu yako na ukienda menu(Doti tatu), ukiingia sehemu ya whatsapp web itakuonyesha device zote zinazongalia whatsapp yako. Wanaotumia android 8.0 mtu akiifungua tu sehemu nyingine inakuletea notification kuwa whatsapp yako inatumika.
Hata marshmallow ilikuwa inafanya hivyo, ila ni kwa baadhi ya simu.
 
Huu ni ujinga wa kiwango cha rami.

Wanaitumia sana wanaume na ma wivu yao. Hii web utaweza kuona kila sms inayoingia na kutoka kutoka kwenye sim ya mlengwa

Kwa nn nasema ni ujinga huyo mpenzi jua ana ndugu zake(familiya) wana mambo yao ya siri wanadiscuss hizo sms zinakuja kwako ukizisoma zitakusaidia nn?

Leo wamelala njaa wanamtumia sms binti yao awatumie hata buku ya dagaa na wewe umekodoa kusoma hizo sms?? Je angekuwa anasoma sms za familiya yako ungejisikiaje?

Mtu kama anakupenda/kutokupenda utajua tuu mambo ya ku spy ni ubashite kabisa.
naona ingekuwa vizuri sana angeunga na simu ya mwenza wake
Za mwanamke anazisoma zake anazisoma nani huo ni kutokujiamini
Na ulimbukeni uliyokithiri
 
Hizi spying techniques huwa zinatumiwa sana na wapenzi wa kiume dhidi ya wanawake because mwanamke sio mtu wa kumuamini always, wanawake wengi sikuhizi ni wanafiki sana. Ukitaka kuamini hilo muache pekeake ajiendeshe kwa muda bila kumfatilia at a certain point utakuta anakusaliti tu.

Na mwanamke anaechukia kuwa spied maana kuna analoficha, utakuta simu ina ma password lukuki na anafuta sms za mahawara akihisi utaipekua simu yake. Kuna mmoja alifikia kuwa anazima simu ya tochi akija ndani maana ndio wanakopigiana na hawara wake huko, alikuwa anapigiwa simu anajifanya jamaa ni rafiki yake kumbe ameanzisha uhusiano nae kimya kimya anamdanga huko ikabidi nimpige marufuku kuwasiliana na huyo mbwa ndio kuanza kuficha simu.

Jamani ukishakuwa kwenye uhusiano na mtu means that mko kitu kimoja hamna cha siri za familia wala nini maana hata msaada ukihitajika kutoa nitatoa mimi ikibidi sasa siri za nini. Hii ya siri za ndugu ni gia tu ila hata mimi nilifatiliaga nikajua ninaishi na mshenzi mapema tu nikachukua tahadhari!
Kweli hakuna siri ila kunamtu anaficha siri zake mpaka unajuta h
 
Back
Top Bottom