rich1 JF-Expert Member Jul 31, 2015 2,967 3,189 Oct 25, 2021 #1 Kwema wandugu, Naomba leo tupeane maujanja na mbinu za kupata GB nyingi kwa bei nafuu hasa upande wa halotel.
Kwema wandugu, Naomba leo tupeane maujanja na mbinu za kupata GB nyingi kwa bei nafuu hasa upande wa halotel.
aise JF-Expert Member May 16, 2018 4,124 11,961 Oct 25, 2021 #3 Hakuna ujanja mkuu, ujanja pekee ni kupunguza matumizi yako ya intaneti. Unaweza kupunguza matumizi yako ya intaneti kwa kuzuia App zisitumie MBs mpaka pale unapoifungua App husika.
Hakuna ujanja mkuu, ujanja pekee ni kupunguza matumizi yako ya intaneti. Unaweza kupunguza matumizi yako ya intaneti kwa kuzuia App zisitumie MBs mpaka pale unapoifungua App husika.
desayi JF-Expert Member Aug 27, 2017 3,289 5,470 Oct 25, 2021 #5 aise said: Hakuna ujanja mkuu, ujanja pekee ni kupunguza matumizi yako ya intaneti. Unaweza kupunguza matumizi yako ya intaneti kwa kuzuia App zisitumie MBs mpaka pale unapoifungua App husika. Click to expand... Unafanyeje
aise said: Hakuna ujanja mkuu, ujanja pekee ni kupunguza matumizi yako ya intaneti. Unaweza kupunguza matumizi yako ya intaneti kwa kuzuia App zisitumie MBs mpaka pale unapoifungua App husika. Click to expand... Unafanyeje
wa stendi JF-Expert Member Jul 7, 2016 24,688 26,796 Oct 25, 2021 #6 aise said: Hakuna ujanja mkuu, ujanja pekee ni kupunguza matumizi yako ya intaneti. Unaweza kupunguza matumizi yako ya intaneti kwa kuzuia App zisitumie MBs mpaka pale unapoifungua App husika. Click to expand... Nipe mbinu baba .. Au ni pale kwenye mobile data limit seting
aise said: Hakuna ujanja mkuu, ujanja pekee ni kupunguza matumizi yako ya intaneti. Unaweza kupunguza matumizi yako ya intaneti kwa kuzuia App zisitumie MBs mpaka pale unapoifungua App husika. Click to expand... Nipe mbinu baba .. Au ni pale kwenye mobile data limit seting
Tonyblair JF-Expert Member Nov 27, 2015 424 426 Oct 25, 2021 #7 aise said: Hakuna ujanja mkuu, ujanja pekee ni kupunguza matumizi yako ya intaneti. Unaweza kupunguza matumizi yako ya intaneti kwa kuzuia App zisitumie MBs mpaka pale unapoifungua App husika. Click to expand... Naomba ujanja ndugu jinsi ya kupunguza matumizi kwa kuzuia baadhi ya apps mpka nitakapokuwa na uhitaji
aise said: Hakuna ujanja mkuu, ujanja pekee ni kupunguza matumizi yako ya intaneti. Unaweza kupunguza matumizi yako ya intaneti kwa kuzuia App zisitumie MBs mpaka pale unapoifungua App husika. Click to expand... Naomba ujanja ndugu jinsi ya kupunguza matumizi kwa kuzuia baadhi ya apps mpka nitakapokuwa na uhitaji
kelphin JF-Expert Member Dec 24, 2019 9,124 14,496 Oct 25, 2021 #9 Smart911 said: Ngoja waje mpeane miongozo... Click to expand... Hakuna muongozo
R Retired JF-Expert Member Jul 22, 2016 40,408 74,038 Oct 25, 2021 #10 aise said: Hakuna ujanja mkuu, ujanja pekee ni kupunguza matumizi yako ya intaneti. Unaweza kupunguza matumizi yako ya intaneti kwa kuzuia App zisitumie MBs mpaka pale unapoifungua App husika. Click to expand... how do you do it
aise said: Hakuna ujanja mkuu, ujanja pekee ni kupunguza matumizi yako ya intaneti. Unaweza kupunguza matumizi yako ya intaneti kwa kuzuia App zisitumie MBs mpaka pale unapoifungua App husika. Click to expand... how do you do it