mtoo wa mwakidira
Member
- Sep 23, 2015
- 33
- 0
naomba kujuzwa mtaji wa kias gan wahitajika kuanza biashara ya asali kutoa kijijin kuleta mjin kama dar, na pia nahitaj kupewa ushaur juu ya hyo biashara na pia nipewe na changamoto ntazokutana nazo,
ahsanteni
ahsanteni