Boiker JF-Expert Member Joined Oct 26, 2015 Posts 349 Reaction score 470 Jun 29, 2020 #1 Habari, Naomba kujuzwa maswali ya interview upande wa Assistant Drug Inspector kitengo cha Inspection and Survaillance cha Tanzania Medicines and Medical Devices Authority. Karibuni
Habari, Naomba kujuzwa maswali ya interview upande wa Assistant Drug Inspector kitengo cha Inspection and Survaillance cha Tanzania Medicines and Medical Devices Authority. Karibuni
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 63,048 Reaction score 77,410 Jun 29, 2020 #2 Vuta Subira Wanakuja Sasa Hivi
Gallius JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,999 Reaction score 8,356 Jun 29, 2020 #3 Ingia google tafuta kitabu cha drug inspector handbook by TMDA-pdf pitia hicho kijitabu kina kila kitu... Maswali yao yote hutoka humo...
Ingia google tafuta kitabu cha drug inspector handbook by TMDA-pdf pitia hicho kijitabu kina kila kitu... Maswali yao yote hutoka humo...
Boiker JF-Expert Member Joined Oct 26, 2015 Posts 349 Reaction score 470 Jun 29, 2020 Thread starter #4 Gallius said: Ingia google tafuta kitabu cha drug inspector handbook by TMDA-pdf pitia hicho kijitabu kina kila kitu... Maswali yao yote hutoka humo... Click to expand... Asante kwa kunipa mwanga[emoji1374][emoji1374]
Gallius said: Ingia google tafuta kitabu cha drug inspector handbook by TMDA-pdf pitia hicho kijitabu kina kila kitu... Maswali yao yote hutoka humo... Click to expand... Asante kwa kunipa mwanga[emoji1374][emoji1374]
moyafricatz JF-Expert Member Joined Nov 27, 2015 Posts 2,905 Reaction score 4,948 Jun 29, 2020 #5 We ulitaka akupe nn?? Boiker said: Asante kwa kunipa mwanga[emoji1374][emoji1374] Click to expand...
ip_mob R I P Joined Nov 14, 2016 Posts 268 Reaction score 651 Jun 29, 2020 #6 moyafricatz said: We ulitaka akupe nn?? Click to expand... Haha.. Majibu ya humu ndani kama haujakula lazima uumwe tumbo...[emoji81][emoji81][emoji81]
moyafricatz said: We ulitaka akupe nn?? Click to expand... Haha.. Majibu ya humu ndani kama haujakula lazima uumwe tumbo...[emoji81][emoji81][emoji81]