ZamdaIssa
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 879
- 1,456
Salaam wakuu!
Naomba kujuzwa kuhusu huduma za kujifungua kwa mama mjamzito katika hospital ya Mwananyamala!rafiki yangu ameandikiwa akajifungulie mwananyamala mwezi ujao ila sasa anawasiwasi sana na huduma za hapo kuhusu uzazi maana baadhi ya waliojifungulia hapo wanadai Tatizo kubwa la Mwananyamala ni kwamba Madoctor na Manesi wako bize sana kiasi kwamba umakini umepungua!
Mwenye uzoefu na anayejua mengi kuhusu hospital hii anijuze!pia sio vibaya mukanijuza pia ni hospt ipi nzuri hasa kwa kujifungua hapa Dar!mimi nimeshindwa kumshauri maana nilijifungulia zangu mkoaa!!
Kipato chake ni cha kawaida hivyo hizo hosptal za milion hana