Naomba kujuzwa kuhusu hizi ajira

Kabaizer

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
504
64
Wakuu naomba kuuliza hivi zile ajira 10000 zilizotangazwa na serikali wiki iliyopita katika kada mbalimbali ikiwemo ualim wa shule za msingi na secondary,mahakama,wauguzi n.k, tunasubiri watoe post au ndio tunaenda wilayani na kuomba? taarifa zinasema wataanza kuripot mwez wa 8 sasa naomba kujuzwa hali halisi,
natanguliza shukran za dhati
 
Ttz la viongozi wetu huwa hawatoi maelekezo kamili ya jambo wanalolizungumza ht mm cjaelewa kuhusu hizo ajira ..kwamba zitatangazwa kupitia utumishi au ndio twende wilayani na pia km wilayani hujui wilaya ipi inaitaji watu gani,
 
wakuu naomba kuuliza hivi zile ajira 10000 zilizotangazwa na serikali wiki iliyopita katika kada mbalimbali ikiwemo ualim wa shule za msingi na secondary,mahakama,wauguzi n.k, tunasubir watoe post au ndio tunaenda wilayani na kuomba? taarifa zinasema wataanza kuripot mwez wa 8 sasa naomba kujuzwa hali halisi,
natanguliza shukran za dhati
Hawa viongoz wetu ni matamko tu hakna kinachotolewa ufafanuz, mwez 8 umekarbia sasa tusbr movie!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom