The Velocity
Member
- Feb 18, 2015
- 39
- 8
Wakuu wa JF
Mimi ni moja kati ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na open university katika mwaka wa masomo 2014/2015 na niliomba mkopo na kua allocated Tsh.500,000/- tu. Lakini niliamua kuhama na nikahamia St.Joseph tawi la Arusha. Nilifanya taratibu zote za kuhamisha mkopo na ku appeal kupitia afisa mikipo hapa chuoni but at the end of the 1st semester ilikua sijapata mkopo na appeal ilipigwa chini. Katika Semester ya pili mambo yalikua magumu sana kwangu kwani nilishindwa hata kufanya registration na uongozi wa chuo ukaniambia kwamba "you are detained " wakaniambia naweza kujiunga tena na chuo 2nd semester ya mwaka wa masomo 2015/2016 as 1st year student.Swali langu ni je HESLB watanipa mkopo? Mwenye experience naomba anisaidie hapa