Naomba kujuzwa kuhusu gari aina ya VW Tiguan

SONGOKA

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
1,843
1,841
Wakuu,

Naomba taarifa kuhusu hii VW MODEL

Nini mapungufu yake ya mara kwa mara (common problems)?

Strength zake ni zipi?


VW Tiguan
 
Gari yenye heshima mtaani na barabaran pia alafu IPO juu kama ilivyo harrier na Subaru,kuhusu speed hapo ndipo Nyumbani kwake ukiwa njiani hamna cha Subaru,mark X wala brevis hawa wote ni wachumba Tu mbele ya mjerumani...
nimeshudia jpili hii kutoka Vingunguti kuitafuta mtava hakika wazungu ni habari nyingine Kwenye speed maana jamaa alikuwa anatupiga Tu overtaking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…