Naomba kujuzwa kuhusu amiba na dalili zake

Elongo Junior

Member
Apr 21, 2018
55
29
Samahani JF Doctor,

Najiskia maumivi ya uti wa mgongo, kichwa kuuma pia mwili kuwasha sana lakini bila kutokwa na vipele. Je hii inaweza kuwa ni Amiba..? Maana nimepima nimeambiwa nina Amiba.. na je, madhara yake yakoje na tiba ikoje.

Naomba msaada.
 
Kama unakula nyama ya kitimoto acha maramoja, tafuta dawa yyte inayofanya uharishe japo mara 2 pharmacy nafkiri hawakosi au kunywa maziwa hata lita ili upate kusafisha tumbo
 
Back
Top Bottom