Mkuu dentist aliniambia hizi whitening toothpastes zina bleach mwisho wa siku unaharibu enamel, nenda kwa professional dentists wanaofanya cosmetic cleaning procedure. Ni gharama kidogo lakini ni salama.Habari?
Naomba kujuzwa kama kuna dawa zinazoweza kung'arisha meno kabisa na kuondoa stains kwenye meno au njia yoyote ambayo ni salama kwa afya. (Meno yenye uchafu kama kutu hivi)
Asante
Makadirio ni kiasi ganiMkuu dentist aliniambia hizi whitening toothpastes zina bleach mwisho wa siku unaharibu enamel, nenda kwa professional dentists wanaofanya cosmetic cleaning procedure. Ni gharama kidogo lakini ni salama.
Nairobi ilikuwa Ksh 2,000 lakini ukielewana nao unalipa kwa instalment kila mwezi, hiyo ilikuwa miaka 4 iliyopita.Makadirio ni kiasi gani
Nairobi ilikuwa Ksh 2,000 lakini ukielewana nao unalipa kwa instalment kila mwezi, hiyo ilikuwa miaka 4 iliyopita.
Kunywa JikiHabari?
Naomba kujuzwa kama kuna dawa zinazoweza kung'arisha meno kabisa na kuondoa stains kwenye meno au njia yoyote ambayo ni salama kwa afya. (Meno yenye uchafu kama kutu hivi)
Asante
we muuaji sio bureKunywa Jiki
Mtaani kwetu wanaisoma namba kwa adabu hawana vituko kwa muda huu wametulia.Unajua mambo mengi mkuu, BTW nimesubiri story ya kufungia mwaka toka mtaani kwenu
Mtaani kwetu wanaisoma namba kwa adabu hawana vituko kwa muda huu wametulia.
Ubarikiwe sanaNunua bicabornate of soda ile wanayowekaga kwenye maandazi then ichukue kidogo changanya na limau kidog maji yake then itumie kama dawa ya meno usisugue zaid ya dakika mbili na ukisugua leo kesho pumzika then kila utapokuwa unasugua utakuwa unaona mabadiliko tumia mpaka utakapo ona meno yako ni meupe me nilitumiaga mara nne tu yakawa safi kabisa mkuu
Asante kwa maarifaJitahidi kupiga mswaki asubuhi na usiku kila siku,baada ya kula....kila saubuhi baada ya kusugua na mswaki chukua mdaa,kuna mti unaitwa mdaa wanauza hata wamasai,sugua tena kama dakika mbili,meno yatakuwa meupe sana,ndio njia yangu mimi hiyo na nina meno meupe kabisa