MUSA2021 Member Joined Jul 15, 2021 Posts 7 Reaction score 2 Sep 9, 2021 #1 Naomba anaejua namna ya kuflash simu kwa kutumia kompyuta anisaidie nitumie app gani?? Niko bush nataka nianze hii ishu. Msaada please.
Naomba anaejua namna ya kuflash simu kwa kutumia kompyuta anisaidie nitumie app gani?? Niko bush nataka nianze hii ishu. Msaada please.
Mbagala stendi JF-Expert Member Joined Nov 8, 2020 Posts 343 Reaction score 407 Sep 9, 2021 #2 Unatumia simu gani?
MUSA2021 Member Joined Jul 15, 2021 Posts 7 Reaction score 2 Sep 9, 2021 Thread starter #3 Natumia infinix hot 8 kaka
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,053 Reaction score 15,515 Sep 9, 2021 #4 MUSA2021 said: Natumia infinix hot 8 kaka Click to expand... Tafuta SP flashtool na kisha tafuta Scatter file la hiyo simu yako. Ukifanikiwa kuflash simu yako itapotez emei Hakukisha emei unazo kabla ya kuflash
MUSA2021 said: Natumia infinix hot 8 kaka Click to expand... Tafuta SP flashtool na kisha tafuta Scatter file la hiyo simu yako. Ukifanikiwa kuflash simu yako itapotez emei Hakukisha emei unazo kabla ya kuflash
Alex Muta Senior Member Joined Apr 26, 2013 Posts 154 Reaction score 44 Sep 10, 2021 #5 Kuna yeyote humu awe Mbeya au Songwe anaeweza kuroot infinix?
Ramlis JF-Expert Member Joined Aug 22, 2013 Posts 612 Reaction score 532 Sep 10, 2021 #6 MUSA2021 said: Naomba anaejua namna ya kuflash simu kwa kutumia kompyuta anisaidie nitumie app gani?? Niko bush nataka nianze hii ishu. Msaada please. Click to expand... Jifunze kwanza kabla haujaanza kazi la sivyo utaharibu.
MUSA2021 said: Naomba anaejua namna ya kuflash simu kwa kutumia kompyuta anisaidie nitumie app gani?? Niko bush nataka nianze hii ishu. Msaada please. Click to expand... Jifunze kwanza kabla haujaanza kazi la sivyo utaharibu.