Habari wana JF
Nahitaji kujuzwa hili suala kwa wanaojua. Nina mdogo wangu amesomea Journalism(certificate). Anataka kubadili course asomee Biashara. Je itabidi aanze tena na certificate au anaweza akaendelea na Diploma?
Anataka kusoma biashahara o level amesoma masomo gani? ,km alisoma arts ni vigumu sn..ninavyojua mm watu wenye uwezo wa kusoma program yryote ni wale waliosoma sayansi o level