Naomba kujuzwa faida ya Tangawizi kwenye juisi hasa Juisi ya Parachichi

Mumlii

Senior Member
Mar 14, 2021
169
230
Habari wana JF

Huwa nakunywa, juisi mara nyingi wameweka tangawizi sa naomba nijue faida zake kwenye juisi . Inaleta flavor ama?
 
Habari wana JF

Huwa nakunywa, juisi mara nyingi wameweka tangawizi sa naomba nijue faida zake kwenye juisi . Inaleta flavor ama?
Ina saidia Yale Mambo ya upungufu wa naniliu za akina baba
 
Back
Top Bottom