Mkuu huyo mtoto ni wa kwako? Au mtoto wa mtu mwengine? hebu funguka sema kwa uwazi tupate kukusaidia mawazo na dawaHabari zenu Waungwana,
kuna mtoto mmoja wa kiume anamiaka 9 ni mtoto mwenye Utindio wa Ubongo, Huyo mtoto amekuwa hapati usingizi kabisa,Je mwenye kutoa ushauri juu ya dawa za kumpatia ili kuweza kupata usingizi ni nini.
Ushauri wenu ni muhimu sana