Majani ya bangi asage ile juis unadondosheaBangi
Kama Umeshatumia madawa ya Hospital kama Boric acid...Candibiotic ear drop na Ikashindikana Bhasi Hili ndo suluhisho lako... Mchuzi wa majani ya bhangiMajani ya bangi asage ile juis unadondoshea
Kama Umeshatumia madawa ya Hospital kama Boric acid...Candibiotic ear drop na Ikashindikana Bhasi Hili ndo suluhisho lako... Mchuzi wa majani ya bhangi
Tafuta majani Mabichi ya Bhangi sio mengi sana kiasia... Anza kuyatwanga aua kufikicha mpaka upate ule mchuzi wake alafu Weka kwenye sikio lenye shidaa...!! Fanya hata mara 3 japo mara nyingi ukifanya mara 1 tu unakuta unakua poaHayo majani ni mabichi au makavu, na anachukua kiasi gani cha majani na kiasi gani cha maji kutengeneza huo mchuzi??, baada ya hapo huo mchuzi anakunywa au anaufanyaje???!!.
Wekeni mambo wazi.
Majani ya bangi asage ile juis unadondoshea
Habar za mida hii ndugu jamaa na marafiki, kama kichwa ha habar hapo juu kinayojieleza naomba kufahamishwa dawa ya sikio kwa yeyote anayefaham......nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya sikio kwa muda mredu kidogo....kwaiyo yeyote anayefaham tiba ya ugonjwa huu naomba anijuze....asanten ....nawasilisha
Wakati wa kulala weka kipande cha kitunguu maji sikioni. Kina uwezo wa kunyonya uchafu na bakteria zilizo ndani ya sikio.Habar za mida hii ndugu jamaa na marafiki, kama kichwa ha habar hapo juu kinayojieleza naomba kufahamishwa dawa ya sikio kwa yeyote anayefaham......nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya sikio kwa muda mredu kidogo....kwaiyo yeyote anayefaham tiba ya ugonjwa huu naomba anijuze....asanten ....nawasilisha
Pia inasaidi kukata maumivu kwa njia hiianaivuta
Soma ushauri wangu hapo juuNa mimi naomba msaada wa kuzibua sikio lililoziba, kwani ninapotumia cotton buds kusafisha sikio badala yake huzidisha kuziba, hali hii hunitokea mara.nyingi.
Nataka kujua njia rahisi ya kusafisha sikio.
Je sikio linalopiga kelele muda wote? MiluzWakati wa kulala weka kipande cha kitunguu maji sikioni. Kina uwezo wa kunyonya uchafu na bakteria zilizo ndani ya sikio.
NB: kulala chumbani na vipande vya kitunguu maji (kwenye kisahani) husaidia kuondoa bakteria zinaozoelea chumbani
Nashkuru kaka kwa ushaur wako nadhan kitunguu maji ni rahis kukipata kuliko bange kwa mazingira ninayoishi kwaiyo wote mawazo yenu nitayafanyia kaziWakati wa kulala weka kipande cha kitunguu maji sikioni. Kina uwezo wa kunyonya uchafu na bakteria zilizo ndani ya sikio.
NB: kulala chumbani na vipande vya kitunguu maji (kwenye kisahani) husaidia kuondoa bakteria zinaozoelea chumbani