Naomba kujuzwa dawa ya kuondoa mtoto wa Jicho bila upasuaji

Donkey

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
1,431
1,449
Naomba kujua kama Kuna dawa ya kuondoa tatizo la mtoto wa jicho bila upasuaji.
 
Naomba kujua kama Kuna dawa ya kuondoa tatizo la mtoto wa jicho bila upasuaji.
My beloved grandma aliponea komwe.
Tofauti na hiyo ni ALMOND MILK,Asali na carot
Nunua almond ziloweke TOA maganda, Blend upate maziwa Yake.
2. Carrot
Blend tia na kijiko 1 Cha asalli
 
My beloved grandma aliponea komwe.
Tofauti na hiyo ni ALMOND MILK,Asali na carot
Nunua almond ziloweke TOA maganda, Blend upate maziwa Yake.
2. Carrot
Blend tia na kijiko 1 Cha asalli
Hata mimi nina mtoto wa jicho niliende Kcmc wakaniambia wanifanyie operation ila sikuwa na hela ikabidi nirudi home .bei yake ni laki 5 .naombeni hiyo ya kienyeji wakuu wangu
 
Hello Dawa ya mtoto wajicho pasipo na upasuaji ipo nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako.
Nakupataje, namba yangu ni 0718 607 403, nina tatizo la mtoto wa jicho hilo, naomba nijibunkwa namba hiyo maana siingii jamii forums mara kwa mara
 
Pole mkuu tumia juice ya karoti,ubuyu na asali jitahid sana kutumia hvyo vitu utapona
 
Back
Top Bottom