Naomba kujuzwa dawa ya kukausha kidonda

fergie

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
280
127
Habari wakuu,

Mm nilikuwa na jipu shavuni nmelitumbua jana nlikuwa naomba nifahamu ni dawa gani nzuri ambayo itakausha kidonda kwa haraka.

Hospital nimeandikia Amplicox lkn ningependa kufahamu dawa ambayo naweza hata kupaka kidonda kipone haraka.

Asanteni.
 
ungekuwa maeneo ya wafugaji ningekuelekeza dawa hizi za kienyeji utengeneze mwenyewe
 
Ni Ugonjwa Tu Kaka Angu Alitokanao Gerezani Sasa Kwenye Harakati Za Kuchangia Madodoki Nikawa Na Mimi Nimeupata Na Sio Vidonda Tu Hadi Vipere Pia Ninavyo Kwenye Mapaja Na Mikononi
 
tafuta dawa inaitwa[ formula iv] inakausha kidonda popote sehemu ya mwili, ukiikosa maana ni adim sana nicheki pm utaipata,,, am a doctor kuwa huru pm ili kupata tiba
 
Ni Ugonjwa Tu Kaka Angu Alitokanao Gerezani Sasa Kwenye Harakati Za Kuchangia Madodoki Nikawa Na Mimi Nimeupata Na Sio Vidonda Tu Hadi Vipere Pia Ninavyo Kwenye Mapaja Na Mikononi
Kama Ni hivyo nenda hospital mkuu!
Unaweza ukatibu kwajuu juu kumbe inatakiwa dawa ya sindano kabisa
 
fergie,
Samahani......nmeshindwa jinsi ya kutuma mimi kama mimi lakini naamini mtanisaidia ndo maana nime replay.......naomba kujua dawa nzuri ya kukausha kidonda cha uzazi cha kujifungua njia ya kawaida nilichanika niliongezewa na nikachanwa na watoto pia maana nilijifungua mapacha na ni uzazi wa kwanza sasa nna miez miwili naona kunasehemu kama bado hapajakauka ili niwe normal sasa ntumie dawa gani ili paweze kukauka maana nimejiangalia na kioo ndo nmegundua hilo na ni padogo msaada wakuu
 
Poleni sana mnaosumbuliwa na magonjwa mbalimbali mungu awatie nguvu,, Mimi Nina mgonjwa wa kidonda Huu ni mwaka wa tano bila mafanikio.
 
Back
Top Bottom