buswagg
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 424
- 743
Waheshimiwa habari zenu.
Shoga angu amenipigia simu tena, kijana wao (age 25) bado anawumbuliwa na ganzi kwenye mikono, na sasa ni too much, tusaidieni kwa anaejua dawa au awevanakula nini kuondoa hizo ganzi mikononi mwa kijana, wanaanza kupata wasiwasi zaidi.
Msaada please