Ambassador_
Member
- Nov 27, 2020
- 26
- 45
Uni tag boss.Wakuu habari! Naomba kujuzwa ada za driving school, japo najua zitakuwa na utofauti kati ya centre moja na nyingine, ila ile standard kabisa ambayo nitakuwa sijapigwa ina range kiasi gani.
Ps:ndo nataka kuanza kujifunza.
Kuhusu leseni? Na ipo wap?City drive ni 200,000 mwezi mmoja
Maelezo kamili utayapata ofisini kwao wapo mabibo hostel karibu na lunch timeKuhusu leseni???....na ipo wap????
Asante sana.Kuanzia 150,000 kuendelea vituo vingi ni kuanzia laki 2 vituo vya serikali au VETA ndio huwa na garama nafuu changamoto,wahitaji ni wengi itakulazimu kujiunga kisha usubiri miezi kadhaa zamu yako kuanza kufundishwa. Kazi ni kwako
Shukrani..Basic driving course for 5 weeks Veta makadirio yake ni Tshs 190,000.00
Asante.basic driving pale Veta ni 230,000 wiki 5
Hiyo safiVeta chang'ombe 215000 week 10
Leseni 70000 juu yako
Test vehicle buree