Naomba kujulishwa jinsi ya kudownload movie kwa simu

hyo show box huwez kudownload movie mkuu, nahisi kwa kuipakua hii hilo hitaji lake litakuwa halijapata ufumbuzi bado
Huwa sipendi mtu anaebisha bila fact.
Mimi ndio naitumia kudawnlod movie na movie zipo updated kila siku.
Kitu kidogo cha kurekebisha baada ya kupakua movie ni ku edit jina ukipakuwa movie mfano: Close Range
Itakuwa hivi Close-range-:mp4.temp
So wewe edit hilo jina kwa kufuta .temp ibaki close-rage.mp4
Then enjoy movie uliyo dawnload
Kazi ni kwako sababu mtoa mada anataka latest movie.
 
Last edited:
tumia browser ya ucweb idownload playstore

movie hizi hapa
Index of /Film/2015/
Mkuu tafadhali naomba kuuliza. Nilidownload kodi na configurator yake kwa ajili ya TV, napata TV za kumwaga.

Swali:
Siwezi kupata kodi au wifi-code za setellite ambazo nitapata internet free kwenye simu yangu. Maana nimekuwa nikitafta kupata atleast free wifi-internet ya karibu na ninapoishi sipati. Asante mkuu
 
tumia vifurushi vya usiku panga downloads zako then wewe lala ukiamka asubuhi itakuwa imemaliza
 
Back
Top Bottom