Naomba kujulishwa bei ya Abbott ya Physics O level

Naomba kujulishwa bei ya Abbott ya Physics O level

Umesearch Google umekosa vitabu vya bure kweli? In vitabu vichache sana huwezi vipata google drive.
 
Edition ya ngapi sasa mkuu maana saiv wako edition sijui ya 8. Nataka nifundishie madogo zangu bhana maana pepa za form 4 saiv hazikamatiki, km ya mwaka jana ni balaa tupu.
Hazikamatiki vipi wakati ufaulu umeongezeka?
 
Hazikamatiki vipi wakati ufaulu umeongezeka?
Ufaulu umeongezeka wa kidato cha nne, siyo wa physics. Ukiona pepa ya mwaka jana utakubaliana nami.
Kuna mtoto hapa jirani ana div one point 7, ana A nane ila phyz ana C.
 
Unaweza kukipakua hapa bure ni mb zako Tu.
Screenshot_2021-01-30-08-29-32.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom