A andebhezyo New Member Joined Apr 10, 2025 Posts 1 Reaction score 0 Apr 11, 2025 #1 Mtu akichelewa kufata barua ya Ajira, Dodoma. Ndani ya mwezi je akifata atapewa
Dr PL JF-Expert Member Joined Sep 13, 2024 Posts 558 Reaction score 837 Apr 11, 2025 #2 andebhezyo said: Mtu akichelewa kufata barua ya Ajira, Dodoma. Ndani ya mwezi je akifata atapewa Click to expand... Kwani tangazo la kuitwa kuchukua barua ya ajira huko Dodoma linasemaje? Si huwa wanatoa muda wa kuchukua barua na nini cha kufanya/kitatokea kama hujaenda kuchukua ndani ya huo muda? Rejea tangazo la wito wa kuchukua barua. Kila la kheri.
andebhezyo said: Mtu akichelewa kufata barua ya Ajira, Dodoma. Ndani ya mwezi je akifata atapewa Click to expand... Kwani tangazo la kuitwa kuchukua barua ya ajira huko Dodoma linasemaje? Si huwa wanatoa muda wa kuchukua barua na nini cha kufanya/kitatokea kama hujaenda kuchukua ndani ya huo muda? Rejea tangazo la wito wa kuchukua barua. Kila la kheri.