Raphael gadau JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 1,007 Reaction score 306 Feb 8, 2017 #1 kuna utofauti gani kati ya ICLOUD---------? NA APPLE ID------?
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 22,133 Reaction score 48,857 Feb 8, 2017 #2 Raphael gadau said: kuna utofauti gani kati ya ICLOUD---------? NA APPLE ID------? Click to expand... Mkuu toa hiyo picha,imei namba zinaonekana. Apple ID ni utambulisho/account utakayotumia kwa ajili ya huduma za apple. Icloud ID hii inasaidia kushare taarifa zako kutoka kifaa kimoja cha apple kwenda kingine na pia kinatunza taarifa zako.
Raphael gadau said: kuna utofauti gani kati ya ICLOUD---------? NA APPLE ID------? Click to expand... Mkuu toa hiyo picha,imei namba zinaonekana. Apple ID ni utambulisho/account utakayotumia kwa ajili ya huduma za apple. Icloud ID hii inasaidia kushare taarifa zako kutoka kifaa kimoja cha apple kwenda kingine na pia kinatunza taarifa zako.
Raphael gadau JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 1,007 Reaction score 306 Feb 8, 2017 Thread starter #3 icloud unawezaji kuweka active hata mtu akiiba ahangaike kama walivyo hangaika FBI