Naomba kujua wimbo huu uko wapi?

Naomba kujua wimbo huu uko wapi?

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,161
Reaction score
801
FANI KATIKA MAISHA,

ni track ya muda mrefu, kama kitu live hivi jamaa walitoa na video, naomba kujua ulipo

verce "Mpiga debee ilikuwa kazi yangu, fani katika maisha ikaja kuniokoa, "

anaeufahamu naomba kujua nitapopata
 
wimbo aliimba q chief. subiri baadae kidogo ntakuwekea hapa. mia
 
Naukumba huo wimbo ila sijui jamaa walipotelea wapi!! mimi nawakumbuka Scout jentaz waki colabo na daz nundaz kuna wimbo ulikuwa na maneno 'kama tabia zangu zinawakera wangu masela , mnizoee" kile kibao kinanikumbusha issue flani hivi!
 
FANI KATIKA MAISHA,

ni track ya muda mrefu, kama kitu live hivi jamaa walitoa na video, naomba kujua ulipo

verce "Mpiga debee ilikuwa kazi yangu, fani katika maisha ikaja kuniokoa, "

anaeufahamu naomba kujua nitapopata

Aisee! Hii nyimbo kaipiga Dj D white leo Radio One kwenye saa tano usiku hivi na ushee.. Nimekumbuka mbali for sure..
 
Watu wa enzi zile tupo jamani, family ground family, mechi kali nakumbuka sana....1997s
 
Back
Top Bottom