Python inaweza kukusaidia kuandaa good excel files na kufanya automation ya many formulas. Mimi naitumia katika PPL(Production Planning and Logistics). Pia kuna baadhi ya wahasibu wanaitumia lakini ni kwa makampuni makubwa yenye data nyingi.

Yaani kuna file kubwa la excel we unakuwa unaingiza data na kila kitu kinajicalculate. Excel inaeza kufanya hiyo lakini kwa complex files na data unahitaji kutumia python.
Binafsi me by career ni banker and financial services, Ila nimesoma html na css niwe vizur kwenye front end, ila before niliaza soma python for back end, ila shauku ya kukamilisha systems zangu nimepata shauku ya kusoma front end, ila python na finance ni Pete na kidole vinaendana hasa kwenye SQL (data analysis) pia fintec, accounting apps, na kadhalika