N ngawia JF-Expert Member Feb 11, 2014 691 625 Apr 27, 2017 #1 wadau naomba kijua ubora wa hii star x led tv na Tcl kwenye ubora. Ni kampuni bora na kwa nn?
ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Sep 6, 2014 6,170 7,661 Apr 27, 2017 #2 Natumia STAR X ina mwaka sasa haijawahi sumbua kitu chochote!
Ilisolokobwe JF-Expert Member Jul 29, 2013 1,850 803 Apr 27, 2017 #3 iko poa lakini picha yake sio hd
mlaizer JF-Expert Member Jan 31, 2011 233 41 Apr 27, 2017 #4 Natumia tcl,huu ni mwaka wa 6 na haijawahi kunisumbua..
124 Ali JF-Expert Member Apr 25, 2010 7,802 5,494 Apr 27, 2017 #5 danya said: Natumia STAR X ina mwaka sasa haijawahi sumbua kitu chochote! Click to expand... Unataraji tv ikusumbue baada ya mwaka? Kuna tv zina miaka 30 bado zina dunda na hazimjui fundi. Tv inatakiwa kuanza kutiliwa mashaka at least baada ya miaka 5
danya said: Natumia STAR X ina mwaka sasa haijawahi sumbua kitu chochote! Click to expand... Unataraji tv ikusumbue baada ya mwaka? Kuna tv zina miaka 30 bado zina dunda na hazimjui fundi. Tv inatakiwa kuanza kutiliwa mashaka at least baada ya miaka 5